Devotions


DEALING WITH CURSED HANDS | KUSHUGHULIKA MIKONO ILIYOLAANIWA


Devotion Date:2023-11-08


DEALING WITH CURSED HANDS SCRIPTURES: Ecclesiastes 5:4-6 (NKJV), Deuteronomy 28:12 (NKJV) When the Lord said, “I will bless the works of your hands,” the word “Bless,” stands in opposite to “Curse.” Implying that both blessings and curses are instruments in the hands of God and the devil. However, the devil cannot bless, as when he does, he steals from another person. Many people are moving and living with cursed hands. Cursed hands often encounter difficulty in finishing projects, possess destructive elements, experience gathering and scattering. “I pray for you, any cursed hands attached to yours be broken by fire in the name of Jesus Christ, Amen!” MALACHI JOSEPH JESUS SERVANT KUSHUGHULIKA MIKONO ILIYOLAANIWA MAANDIKO: Mhubiri 5:4-6, Kumbukumbu la Torati 28:12 Bwana aliposema, “Nitabariki kazi za mikono yako,” neno “Baraka,” linasimama kinyume na “Laana.” Akimaanisha kuwa baraka na laana vyote ni vyombo mikononi mwa Mungu na shetani. Hata hivyo, shetani hawezi kubariki, kwani anapofanya hivyo, huiba kutoka kwa mtu mwingine. Watu wengi wanahama na kuishi na mikono iliyolaaniwa. Mikono iliyolaaniwa mara nyingi hukutana na ugumu katika kumaliza miradi, humiliki vitu vya uharibifu, na hupitia hali ya chuma ulete. "Nakuombea, mikono yoyote iliyolaaniwa iliyounganishwa na yako ivunjike kwa moto katika jina la Yesu Kristo, Amina!" MALACHI JOSEPH MTUMISHI WA YESU DEALING WITH CURSED HANDS SCRIPTURES: Ecclesiastes 5:4-6 (NKJV), Deuteronomy 28:12 (NKJV) 1. If your hands are cursed, there will be a lot of abandoned projects. 2. If your hands are cursed, when you start anything, problems will be triggered off even if there was success at the beginning. 3. Cursed hands possess destructive elements. 4. If the hands cursed ever come across something on the verge of collapse, the hands will contribute to complete the collapse. 5. Whatever the cursed hands touch it will collapse. 6. If cursed hands belong to a group, there inputs will cause problems within that group. 7. The life of people with cursed hands will be characterized with unprofitable business and last minutes disappointment during breakthrough moments. 8. Cursed hands experience hardwork without profit. 9. Gathering and scattering experiences are always knocking at the door of a person with cursed hands. 10. Cursed hands constantly experience loss. MALACHI JOSEPH JESUS SERVANT KUSHUGHULIKA MIKONO ILIYOLAANIWA MAANDIKO: Mhubiri 5:4-6, Kumbukumbu la Torati 28:12 1. Ikiwa mikono yako imelaaniwa, kutakuwa na miradi mingi iliyoachwa. 2. Ikiwa mikono yako imelaaniwa, unapoanza jambo lolote, matatizo yataibuka hata kama kulikuwa na mafanikio mwanzoni. 3. Mikono iliyolaaniwa ina vitu vya uharibifu. 4. Ikiwa mikono iliyolaaniwa ikakutana na kitu karibu na kuanguka, mikono itachangia kukamilisha kuanguka. 5. Chochote ambacho mikono iliyolaaniwa itagusa itaanguka. 6. Ikiwa mikono iliyolaaniwa inahusika katika kikundi, mchango wao utasababisha matatizo ndani ya kikundi hicho. 7. Maisha ya watu walio na mikono iliyolaaniwa yatakuwa na biashara isiyo na faida na kukatishwa tamaa dakika za mwisho wakati wa mpenyo. 8. Mikono iliyolaaniwa hufanya kazi kwa bidii bila faida. 9. Hali ya chuma ulete hubisha hodi mlangoni mwa mtu mwenye mikono iliyolaaniwa. 10. Mikono iliyolaaniwa hupata hasara kila mara. MALACHI JOSEPH MTUMISHI WA YESU