Devotions


HOW TO PRAY AND GET ANSWERS


Devotion Date:2023-08-29


[Mathew 7:7, 1 Thesalossians 5:18] "If you want to pray and get answers follow these steps;Thanks giving, prayer of mercy, have faith during and after prayers, intercede for others, fasting, prayers backed up woth sacrifice, prayers of supplication and petions, that is only through these steps that your prayers will be answered by your Heavenly Father." Jesus Servant Malachi Joseph NAMNA YA KUOMBA NA KUPATA MAJIBU [Mathayo 7:7, 1 Wathesalonike 5:18] "Ukitaka kuomba na kupata majibu fuata hatua hizi;Kutoa shukrani, maombi ya rehema, kuwa na imani wakati wa maombi na baada ya maombi, kuwaombea wengine, kufunga, maombi yanayosindikizwa na dhabihu, maombi ya kumwomba Mungu akifanyie kitu fulani, ni kupitia hizi hatua ambapo maombi yako yatajibiwa na Baba yako wa Mbinguni." Mtumishi wa Yesu Malachi Joseph